Biashara ya Majeneza na kuhifadhi wafu... mawazo yenu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Majeneza na kuhifadhi wafu... mawazo yenu!!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mkeshahoi, Sep 12, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Halisomeki vema akilini ila inawezekana..

  Nimekuwa nikiona majeneza yakitengezwa Manzese tu.. kwingi ni vijiwe bya kuuzwa..Nimeona wafiwa wakifuta marehemu hospitalini na kuna nyakati hifadhi ya marehemu inakuwa shida hasa hospitali kubwa mijini..
  Wazo:
  Mjasiriamali/wajasiriamaliali wakithubutu wanaweza kabisa kufanya biashara zote mbili kwa mkupuo.. kuwa na eneo.. mf. kwa DSM...kimara..Tegeta..Mbagala..Pugu.. wanakodi jengo ambalo ndani kuna kuwa na miundominu ya kuhudumi marehemu kuanzi kwatoa hospitali husika, kuwaanda, kuwatunza, kuwaweka katika majeneza na hadi kuwakabidhi wafiwa.. kwa gharama nzuri..

  Muhimu:

  -Lazima Bisahara isajiliwe
  -Marehemu asihifadhiwe mpaka iwepo hati ya kifo toka kwa msajili wa vizazi na vifo. hii ni kuepuka waliouawa kwa uhalifu.

  Nawakilisha..
   
 2. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very Good idea,bt inahitaji mtu awe amejitoa sana,i mean awe very smart!
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni kweli.. ila kwa jamii yetu watanzania...tunaweza dhani ina mikosi...
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Mie nadhani hii idea inaweza kuwa nzuri zaidi, kwa kuongezea tu mjasiriamali anatakiwa atoe huduma zote mpaka uchimbaji wa tombs mean mtu akija hapo ofisini kazi ni kumuuliza tu mteja huduma anayohitaji kati ya 1.majenza 2.kuchimba 3.kusafirisha 4.kuosha 5.mavazi ya marehemu 6.kuhifadhi nk.wasiwasi wangu juu ya hii biashara ni kwamba ni rahisi sana kuasilika ki sakolojia,pengine inaweza kupelekea mazalio ya tabia mpya ambazo hukuwa nazo kama 1.matumizi ya madawa na pombe 2.jeuri na kutokwa soni 3.kujitenga na jamii mwenyewe.nk. Ushauri wangu ni kwamba kila kitu katika maisha yetu binadamu kinahitaji mazoezi hivyo yampasa mtu afanye uchunguzi kabla,anaweza kwenda hosptl na kusoma tabia za hao watu wanao hifadhi wafu ikiwa ni pamoja na kuuliza changamoto zitokanazo na kazi hiyo.
   
 5. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Slave na Mkeshahoi,

  Hivi mnawezaje "kushauri" watu wafanye kitu fulani badala ya nyinyi wenyewe kufanya, nyi wachawi?
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  "Anheuser" labda nikuulize maswali unijibu,1.hiyo hiyo biashara/kazi unayoifanya unaimani kuwa ni nzuri ktk macho ya jamii? 2.utajisikiaje pale wananzengo/msikiti/watakapo kususia marehemu wako,utafanya nini japo pesa unayo. 3.umewahi kujiuliza endapo huduma hizi zisingekuwe mahosptalini ambapo jamii ingelazimu kutuza maiti ndani mwao? Hahahahaa umenichekesha mkuu yaani umesahau hata kale ka msemo ka wahenga"kufa kufaana"
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mbona Corona wanafanya, japo wao nadhani hawahifadhi. Ila itakuwa na migogoro sana hii. Wachaga wakianza kugombea mwili watakutapeli! Good idea, ila mimi na maiti mbali mbali!
  Afu wewe mtumwa nikikukamata Slave, utanikoma!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  punguza jazba dada yangu ngoja watu tupange dili la maisha natumai utanifurahia pindi nitakapo kuwa narudi toka kazini nikiwa nimepakata mapochopocho kibao kwa ajili yako dada yangu, utakula na vizuri,najua kwa sasa utakuwa na hasira na mimi kwakuwa sina kitu lakini mambo yakinyooka utanisifu kuwa kaka yako najua kutafuta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Sijasema ni kazi/biashara mbaya hata kidogo. In fact nadhani funeral home ni "wazo jipya," manake nimechoshwa na idea zile zile mbili za mfanyabiashara wa Kitanzania: dala dala na guest house. Na nilipoziona funeral home nchi nyingine inaonekana haihitaji mtaji mkubwa sana, unakuta ni kajumba kadogo dogo tu na parking lot ya gari moja la maiti.

  Tatizo ni kwamba badala ya kusema mmeanzisha hiyo huduma, au kuulizana mawazo ya mjipangeje muanzishe, au mseme mnatafuta wenza tufanye hiyo shughuli nyinyi mnasema mnashauri wenzenu waanzishe kuhifadhi wafu, kwa nini nyinyi msihifadhi, nyi wachawi?
   
 10. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ANHEUSER kuhifadhi wafu na uchawi kuna muingiliano gani?kuna ubaya gani kwa mtu mmoja kumshauri mwenzie(alieomba ushauri)hata kama biashara inayoombewa ushauri inawezekana kufanywa na mtoa huo ushauri?u never know,may be yuko busy tayari na biashara anayoifanya sasa hawezi kuingia kwenye mpya!msaidie mwenzio acha kucrash mawazo ya wenzio.
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  najaribu kunangalia hii idea na avatar za wote wanaosupport Mkeshahoi, ThePromise, Slave
   
 12. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  basi uje na wazo lako lenye kujenga na si kubomoa.maana watu wengi wanapenda waende peponi,lakini ukiwaambia kuhusu kufa kwamba wafe ndo waende peponi utashangaa kuona wengi hawapendi kufa ila wanapenda kwenda peponi. Kama unapenda pepo kwanini uogope kufa?
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  private mortuary
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hii ni wazo zuri sana, Ingawa inaweza Onekana ni Utamaduni mgeni sana, but inasound sana, kadri siku zinavyo zidi kwenda ndo the more inavyo pata Nguvu,

  Hata Ulaya zamani hizo walikuwa kama sisi ila kutokana na Maendeleo mengi ikafika Mahali zikaachiwa Kampuni zifanye kazi make watu wako Bise sana, Ila kwenye Mochwari hapo ndo sijui Serikali inasema Vipi,

  Ila ni wazo zuri sana make wa Tanzania tumezoea Mawazo ni Ya Kuagiza Magari kutoka Dubai au Kujenda Baa na Gest
   
 15. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli mkuu. Jamaa wamekaa kichawi na kishetani zaidi. Si ajabu hawa ndo wanasababisha ajali za mara kwa mara nchini kwetu.
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wamechoka kuzunguka mitaani kutafuta nyumba yenye maiti, sasa wanataka wajengewe kituo kimoja ili wasipate shida
   
 17. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  yes that is it.
   
 18. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa! Leo nakuja usiku wa manane kuja kuongea na wewe kisha kukuelewesha,ukisikia kishindo juu ya bati au kuota ndoto yoyote mbaya tambua ni mimi huyo nimeingia.
   
 19. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  yaani watu mnapewa mchongo wa maisha afu mna baki mnalialia kama watoto wadogo wanao ogopa maiti.!
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  deal za maiti???
   
Loading...