Yai la Mbuni linahitajika kwa hali na mali

Yai la Mbuni linahitajika kwa hali na mali

bruno1717

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
61
Reaction score
17
Habari za muda;

Mimi ni mfugaji ninahitaji yai la mbuni na tausi lenye kiini kwa ajili ya kutotolesha.kibali chake cha kumfuga ninauwezo wakukipata.Taarifa tafadhali.

Wasiliana nami 0754566564/0782209106/0713700937:

Ahsante
 
Sasa wewe kibali cha kumfuga unacho........mimi cha kukuletea yai nakipataje.......?.......naliona yai lile paleeee......Yaeda yapo mengi sana........kibali sasa........
 
kuniletea ni makubaliano yakibiashara kati yetu
 
Sasa wewe kibali cha kumfuga unacho........mimi cha kukuletea yai nakipataje.......?.......naliona yai lile paleeee......Yaeda yapo mengi sana........kibali sasa........

Mganga wake kahitaji
 
bado sijapata mtu wa uhakika wakuniuzia au kunipa maelekezo.
 
ni damu na mwili wa kristo massiah tu.hakuna cha uganga wala fyokolo fyoko.ni biashara tu.
 
mwenye yai la nyoka kifutu please.....ni-pm hela ipo.
 
unajua maana ya serilali wewe paka? serikali ni uongozi wa watu na watu wake kwa watu wake. watu wenyewe ndo sisi
 
Back
Top Bottom