Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari ya mwisho WA wiki wana jukwaa, poleni Sana na majukumu ya kila siku. Sasa kilichonileta hapa Ni kwamba Mimi Nina nyumba nahitaji mkopo kwenye taasisi za fedha, sasa kila nikienda...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Habari zenu! Naomba msaada natafuta Soko la uhakika la Machungwa na Parachichi kwa mkoa wa Mwanza! Masaada!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau nimeskia kuna taasisi inaitwa vicoba saccos saving inajihusisha na kuwasaidia wajasiliamali kuwapa mikopo ya riba nafuu na dhamana yake ni.ndogo pia(ela) ila naskia wanatoa kupitia online...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaejua gharama za kujenga greenhouse anisaidie, japo najua zipo za size mbalimbali ila mchango wako no muhimu kwangu. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
965 Views
  • Redirect
Habari za jion wana jamii wenzangu!!, hakika mko na afya njema Nimekuja humu kupata more details kuhusu biashara ya mkaa ambayo naitegemea kuianza miez michache ijayo By the way nimepata baadhi...
1 Reactions
Replies
Views
Natafutua mteja ambaye yupoo serious kwa kununua kuku wa kienyejii jumla nauza 12000 reja reja kuanzia 15000 my namba 0653441636 au 0763592111 karibuni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja hapa dodoma,nahitaji kujua nitaweza kufanya biashara gani wakati nipo chuo. hata kama itahitaji usimamizi wa muda kidogo nikiwa off campus...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
  • Redirect
Ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora. Ila masoko ndio yananisumbua kwa anayeweza kunisaidia wapi ninaweza nikauza. Nipo dar sinza karibu na meeda. Ndoo ya lita ishirini ni tsh...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wapendwa poleni na mihangaiko. Binafsi nahtaj kulima alizeti huku maeneo ya iringa. Na cjajua soko lake likoje kwa huku. Naomben msaada wa soko la alizeti.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Karibuni wateja katika biadhara yangu ndogo nnayoifanya muweze kuniwezesha mjasiliamali mwenzenu. Natengeneza na kuuza sabuni za maji zenye ubora wa hali ya juu na harufu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina mkopo NMB, NIFANYEJE ILI NIHAMISHIE MKOPO CRDB ILI NISIWE NA DENI NMB. Lengo ni kupanua ujasiliamali. taratibu zipi zifuatwe kwa mtumishi wa umma?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
  • Redirect
Wakuu Naomba Msaada Nyanya Zinashambuliwa Na Funza Wadogowadogo Wa Kijani Wanakaa Kwenye Majani Yakianza Matunda Wanatoboa Na Kuingia Kwenye Matunda.Nimejaribu Dawa Nyingi Kama Dudu...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wadau wa JF.. Mimi ni mkulima wa kati wa mpunga (sio mkubwa sana wala mdogo sana). Kwa mwaka naingiza wastani wa gunia 1000 za mpunga. Huwa natenga kiasi kama gunia 10 kwa chakula cha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Maziwa fresh yanauzwa kwa kiasi chochote unachotaka kuanzia lita 2 mpaka lita 200 kwa kila siku =>maziwa hayajachakachuliwa kwa kuwekwa maji au kitu chochote yapo kama yalivyokamuliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta Mayai ya Bata maji kwa ajili ya kutotoresha. Mayai yasiwe na zaidi ya siku 5. Nipo Morogoro .ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Redirect
Msaada wa kitaalamu kutoka kwa wanajamii forum wenye uzoefu na kilimo cha zao hili la passion fruits.
0 Reactions
Replies
Views
Nahitaji kujua ni kilimo gani kitafaa kwa uangalizi wa mbali au maudhulio ya shamba ambayo ni angalau mara moja baada ya wiki tatu au mbili. Kila nikijaribu kitu chchite naishia kuvutiwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unaweza kuziita bag huvaa wafanyakazi wa hotel na sehem nyingine. Kama unajua au unafaham zinapo tengenezwa plz MSAADA..0714 045 080.
0 Reactions
0 Replies
726 Views
  • Redirect
Nipo Tunduma Soko la kimataifa, ninauza na kununua mazao(Nafaka) kama vile Maharage, Ulezi, Mahindi, Karanga, mchele/mpunga. Natafuta wadau walioko ktk masoko tofauti kama vile Dar es salaam...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom