Mtaji wa 1.5 million, nifanyie biashara gani?

Mtaji wa 1.5 million, nifanyie biashara gani?

newbeliever

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
248
Reaction score
48
Wanajamii nimebahatika kupata kiasi hicho cha hela ila nashindwa kupata jibu nifanyie biashara gani hapa Dsm inayozalisha vizuri zaidi? Kwa mwenye idea naomba anijuze pls
 
Back
Top Bottom