Soko la ufuta

Soko la ufuta

jema rashid

Wewe uko wapi?
Wasiliana na Olam wananunua,wako Ghorofa moja lipo along UN Road Upanga opposite na Tambaza sekondari.
 
Last edited by a moderator:
Ukikosa mteja nitafute mkuu. Ila nataka ule mweupe
 
Mbona masoko mengi kwa mchina tabata,export mbagala na tanita,olam vingungut,ila vumilia kidogo uuze kwa faida
 
Anayetaka mbegu za ufuta mweupe anipm,mbegu nzuri nzito vumilivu na zinazaa sana kijijini kwetu pamoja na ukame wa mwaka huu lakinim nmetoka wengine wameyakimbia mashamba
 
Back
Top Bottom