Bei za madawa ya nyanya

Bei za madawa ya nyanya

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,371
Reaction score
14,515
Wakuu hbr za usiku???,naomba km kuna mtu anayejua vema bei za Madawa yafuatayo ya Nyanya kwa DSM;Farmer zeb,Glider,Chloroplus,na dawa za sumu km vile Wilcron,Mocron,n.k.Karibuni wakuu.
 
Kwa maeneo/mkoa upi? Mana gharama ya hizi utegemea mahala ulipo
 
Back
Top Bottom