Habari wanajf,
Mimi ni mkulima ninajishughulisha na kilimo cha mbogamboga [kilimo cha bustani] pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni ukosefu wa mitaji...
Habarini, kwa wale wakulima wa Mahindi walioko katika wilaya ya Mbozi na maeneo ya jirani.
Sisi wataalam wa kilimo tunapenda wakulima wapate kipato kizuri na si kipato tu bali katika kipindi...
Habarini za mchana wana jukwaa,
Samahani natafuta soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa Dar es Salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze.
Nipende kuwatakia mchana...
Wapendwa!
Natarajia kuanza project ya kuku wa mayai,awali nilishauriwa kuagiza vifaranga Uganda lakini inasemekana kwa sasa Serikali hairuhusu kabisa kuingiza vifaranga kutoka nje.
Hivyo basi...
Habari wana JF,
Natangaza kuwa nilishaachana na biashara ya dagaa wa kutoka Mwanza, siku hizi na deal na biashara zingine ambazo hazihusiani kabisa na bidhaa hiyo.
Ahsanteni sana kwa ushirikiano...
Habari wanaJF, Natafuta wataalam mbalimbali wa kilimo na mifugo nifanye nao online business. Nataka nianzishe website ya mambo ya kilimo na ufugaji, kwaiyo natafutaa wataalam wa kuandika nakala za...
Wapendwa mi nko chato mkoani Geita nahitaji kuzalisha uyoga aina ya Manama (oyster) huku chato, kwa haraka nahisi soko lake ni mwanza maana ndiyo mji mkubwa ulio karibu nami, sasa mbegu ntapata...
Habari vijana wenzangu...
Mi ni mkulima wa mpunga maeneo ya SShinyanga mwenye uwezo wa Kusuply zaidi Tan50 za mchele kila wiki ningependa kuuliza mwenye ufaham wa masoko ya nnje ya africa na dunia...
Habarin wana jukwaa, naomba ushauri kwa wataalamu na wajuzi wa kilimo, baada ya maisha kutaiti ktk mwaka huu w 2016, niakona si vibaya kunari u kitoma mjin na kijarib fursa shamba, lkn nilikuja...
Kama title ilivyo wapendwa,sina nijuacho sana kuhusu abc ya biashara hii,ni moja tu ndilo ninalolifahamu kuwa kwa hapa nilipo chakula hicho kitauzika sana maana kuna wafugaji wengi wa nguruwe na...
Jaman wanajamvi habari zenu mimi nipo Dodoma nilkua naomba nipate elimu juu ya ufugaji kuku wa mayai kulingana na sehemu niliyopo kwani kuna baridi alafu nina mtaji wa 300000...je nifanyaje na...
Hebu tuone nini unstakiwa ufanye ili nyanya ikufaidishe.
-Kwa sasa kuna mdudu anaitwa Tuta Absoluta.. au waswahili wanaimuitaKanitangaze (MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Naomba msaada kwa anayefahamu wapi ntawapata wataalamu wa kupima udongo kwa ajili ya kilimo hapa Dar es salaam anisaidie tafadhali. niko katika hatua za awali za...
Habarini wana-jf'ers. ninategemea kufungua frame yangu ya biashara ya mobile phone repairs... na nina mtaji wa kununua vifaa muhimu kama blower...desktop computer na vifaa vyake...
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kuanzisha project ya kilimo cha MABOGA na VITUNGUU kati ya Morogoro na PWANI?
Nafikilia pale Ruvu panaweza faa ingawa sina hakika sana.
Mkuu:malila...
Wandugu habari za kwenu. Naishi Moshi nahitaj kujitupa shamban mazima. Naombeni msaada kwa wanaoifaham vizur Tanzania. Ni eneo gani naweza pata mashamba ya kununua kwa bei nafuu kama Hector 10 kwa...