Baba Ziro
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 130
- 30
Habarini, kwa wale wakulima wa Mahindi walioko katika wilaya ya Mbozi na maeneo ya jirani.
Sisi wataalam wa kilimo tunapenda wakulima wapate kipato kizuri na si kipato tu bali katika kipindi chote na katika shida muhimu.
Wakulima wengi katika nchi yetu wana kilimo cha kujikimu, subsistence agriculture, analima leo kesho hana kitu, inafika wakati wa kununua pembejeo hana pesa.
Na hii inasababishwa hasa na kukosekana kwa masoko ya uhakika ya mazao ya wakulima wetu. Kutokana na hilo, UNYIHA ASSOCIATES ambao ni wasagishaji wa sembe walioko katika mji mdogo wa Mlowo katika wilaya ya mbozi mkoa mpya wa Songwe.
Kwanza katika kufanya kazi zao, wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata Mahindi yaliyotiwa dawa na mbaya sana unakuta madawa yanayotumika ni makali maana wengine wanaweka hadi madawa ya maji ambayo kitaalamu hatuyaruhusu kutiwa kwenye Mahindi direct maana yana mazara kiafya.
Kwa kuliona hilo wameaamua kuanzisha utaratibu utakaowasaidia kupata Mahindi yaliyo mazuri.
Mkulima anapovuna na kupukuchua mahindi yake, anayasagisha, kuyapepeta na
anayapakia na kuyapeleka kwao na atapewa risti kuonyesha kwamba ameweka mahindi kwao, atauza wakati yeye atakapopenda na bei atakapoona inamlipa.
Masharti ni kwamba hutakiwi kuweka dawa yoyote.