wade adams
Senior Member
- Dec 2, 2011
- 160
- 47
Kipindi cha Baba Wa Taifa miradi mingi ilianzishwa. Vipindi vilivyofuata ubinafsishaji ulifuata. Mali nyingi zilipewa waekezaji na hazikuendelezwa tena na kufanya uchumi udorore. Baadhi ya miradi ilishindikana kama machine tools moshi, general tyre arusha, national mill arusha n.k. mashamba ya mpunga chekereni na mabogini mashamba ya nafco kahe nk.
Mimi niona turekebishe hii miradi kwa kutumia wanamchi, waelemishwe kama dr kibola alivyofanya. Lakini maandalizi kamilivu yafanye na wizara ya viwanda na mipango. Dr Kibola anaweza akatumiwa na UTT yake akishirikiana na BARAZA LA UWEZESHAJI, benki ya kilimo na benki ya rasimali. Sisi wananchi tujengewe mazingira ya kuchangia kwa kununua shares. Huu utaratibu ufanyike kitaifa kama utt na nicol ilivyofanya. Tutumie utalaam wa Mr Mosha na Dr Kibola. NICOL ina kiwanda cha samaki Mwanza na wanashares NMB, UTT ina microfinance bank n.k.
Mimi naona tukitegemea wawekezaji tutachelewa na tutaendelea na ile tabia ya tegemezi.
Uwekezaji uendelee kivyake na serikali na sisi tuendelee kivyetu
Mwanzo huwa ni mgumu lakini tutafika. NICOL ilitetereka kwa sababu ya usimamizi mbovu wa serikali iliona mambo ya desa na nicol hayawahusu kwani walikuwa busy na ufisadi. Wajamvi hebu tuchangie kama mnaona there is substance in it naomba tuwe focused and discrete.
Wish u all the best wabongo