Tunaishi kwenye zama ambapo wauaji wa siri wametuzunguuka.

Chemtrail

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
827
442
Hizi ni zama za sumu ambapo bidhaa za
kawaida zinazotumiwa majumbani zinaweza kutuua.Ni zama ambazo wafanyibiashara wametushawishi kwamba bidhaa nyingi za tunazotumia kila siku kama magari,TV,simu,computer,migodini na bidhaa kama shampuu,marumaru,rangi,marashi nk.hazina matatizo. Wote sasa tunaishi katika zama za kula sumu.Nyama tunayokula ina sumu,mboga za majani zina sumu,matunda yana sumu!Tunaishi kwenye zama ambazo wauaji wa kimya kimya wametuzunguuka.

Tunaathiriwa na mionzi kwenye X-rays na Ultrasound bila hata kustuka.Labda zama hizi zingeitwa zama za sumu, zama ambazo sumu zinakubalika na kutumika.

Kila dawa ya kampuni kubwa la madawa kuanzia Aspirin na madawa ya kupunguza lehemu mwilini yanaweza kutuua.

Hizi ni zama za uongo. Uongo mkubwa kabisa kuliko wote ni kwamba eti kuna viwango vya sumu hizi zilizotuvamia ambavyo havina madhara!Na uongo mkubwa zaidi ni kwamba eti kwa sababu ya bidhaa hizo za sumu,maisha yetu yameboreka sana katika kizazi hiki.

Hakika tumetapeliwa na wafanyibiashara hawa vichaa na uchwara wa zama hizi.

Utafiti unaonyesha kwamba makapeti mapya kabisa na marumaru vimesheheni sumu zinazoendelea kutoka pole pole kwa miezi kadhaa kwa kiwango kikubwa na hata miaka kwa viwango vidogo.

Ukweli ni kwamba bidhaa nyingi ambazo tunatumia majumbani mwetu zimesheheni sumu za mishipa ya Neva.

Tunaishi kwenye dunia ya ajabu sana ambapo tunaita dawa za miti magugu na sumu zinapokea sifa zote.Kitu cheupe kunaitwa cheusi na cheusi kinaitwa cheupe.Wizara ya Afya imegeuka Wizara ya Magonjwa na amani inakuwa vita!Kinyume cha ukweli na dhana ya udanganyifu inatawala mawazo yetu!Tunaambiwa kwenye matangazo ya biashara yanayopendeza sana utadhani ujumbe ulobebwa unapendeza kwamba "love it,live it," sawa kabisa na ambavyo mbakaji angemuambia aliyebakwa,"I think you enjoyed it." yaani,nadhani ulifurahia.

Sumu zina athari
mbaya kwetu sote, ingawa sio rahisi kuhisi mara moja.Hii ndio maana bidhaa nyingi zimeandikwa"FATAL IF SWALLOWED.AVOID CONTACT WITH SKIN AND EYES AND IF SWALLOWED GO TO HOSPITAL IMMEDIATELY."

Hivi kwa nini tunakubali ujinga huu.Na kwa nini ukichaa huu unakubalika?Na hawa jamaa wa Madison Avevue na Wall street wametuzidije akili namna hii?

Ukweli ni kwamba tusingefikiria mara mbili kumzuia muuaji mwenye silaha asiingie ndani mwetu.lakini tunakaribisha sumu hizi ndani mwetu na katika maisha yetu.Matumizi ya sumu hizi mara kwa mara yana uwezo wa kuua hata yule mtu ngangari kabisa miongoni mwetu.Hakuna jambo jema lolote katika bidhaa hizo zenye sumu na hakuna kiumbe chochote kinachoweza kustahimili.Kama zinaweza kuua wadudu na panya,zinaweza kutuua na sisi.Ni lazima tuzikatae.

Kwa bahati mbaya,akili zetu zimeharibiwa na madawa,pombe,miziki mibaya yenye sauti kubwa kama bongo flava,makelele,internet,microwaves, filamu,videogames nk.kiasi kwamba hatuna uwezo tena wa kutafakari yale yanayoendelea.

A must read:Google "Targets of the Illuminati and the Committee of 300."
 
UMEANDIKA mada nzito kama unabii. .it takes a real genious to understand you...am sorry as an not the one. They are on their ways to your post....wait for their comments
 
Hizi ni zama za sumu ambapo bidhaa za
kawaida zinazotumiwa majumbani zinaweza kutuua.Ni zama ambazo wafanyibiashara wametushawishi kwamba bidhaa nyingi za kemikali za majumbani tunazotumia kila siku kama shampuu,marumaru,rangi,marashi nk.hazina matatizo. Wote sasa tunaishi katika zama za kula sumu.Tunaishi kwenye zama ambazo wauaji wa kimya kimya wametuzunguuka.

Tunaathiriwa na mionzi bila hata kustuka.Labda zama hizi zingeitwa zama za sumu, zama ambazo sumu zinakubalika na kutumika.

Kila dawa ya kampuni kubwa la madawa kuanzia Aspirin na madawa ya kupunguza lehemu mwilini yanaweza kutuua.

Hizi ni zama za uongo. Uongo mkubwa kabisa kuliko wote ni kwamba eti kuna viwango vya sumu hizi zilizotuvamia ambavyo havina madhara!Na uongo mkubwa zaidi ni kwamba eti kwa sababu ya bidhaa hizo za sumu,maisha yetu yameboreka sana katika kizazi hiki.

Hakika tumetapeliwa na wafanyibiashara hawa vichaa na uchwara wa zama hizi.

Utafiti unaonyesha kwamba makapeti mapya kabisa na marumaru vimesheheni sumu zinazoendelea kutoka pole pole kwa miezi kadhaa kwa kiwango kikubwa na hata miaka kwa viwango vidogo.

Ukweli ni kwamba bidhaa nyingi ambazo tunatumia majumbani mwetu zimesheheni sumu za mishipa ya Neva.

Tunaishi kwenye dunia ya ajabu sana ambapo tunaita dawa za miti magugu na sumu zinapokea sifa zote.Kitu cheupe kunaitwa cheusi na cheusi kinaitwa cheupe.Wizara ya Afya imegeuka Wizara ya Magonjwa na amani inakuwa vita!Kinyume cha ukweli na dhana ya udanganyifu inatawala mawazo yetu!Tunaambiwa kwenye matangazo ya biashara yanayopendeza sana utadhani ujumbe ulobebwa unapendeza kwamba "love it,live it," sawa kabisa na ambavyo mbakaji angemuambia aliyebakwa,"I think you enjoyed it." yaani,nadhani ulifurahia.

Sumu zina athari
mbaya kwetu sote, ingawa sio rahisi kuhisi mara moja.Hii ndio maana bidhaa nyingi zimeandikwa"FATAL IF SWALLOWED.AVOID CONTACT WITH SKIN AND EYES AND IF SWALLOWED GO TO HOSPITAL IMMEDIATELY."

Hivi kwa nini tunakubali ujinga huu.Na kwa nini ukichaa huu unakubalika?Na hawa jamaa wa Madison Avevue na Wall street wametuzidije akili namna hii?

Ukweli ni kwamba tusingefikiria mara mbili kumzuia muuaji mwenye silaha asiingie ndani mwetu.lakini tunakaribisha sumu hizi ndani mwetu na katika maisha yetu.Matumizi ya sumu hizi mara kwa mara yana uwezo wa kuua hata yule mtu ngangari kabisa miongoni mwetu.Hakuna jambo jema lolote katika bidhaa hizo zenye sumu na hakuna kiumbe chochote kinachoweza kustahimili.Kama zinaweza kuua wadudu na panya,zinaweza kutuua na sisi.Ni lazima tuzikatae.

Kwa bahati mbaya,akili zetu zimeharibiwa na madawa,pombe,miziki mibaya yenye sauti kubwa kama bongo flava,makelele,internet,microwaves, filamu,videogames nk.kiasi kwamba hatuna uwezo tena wa kutafakari yale yanayoendelea.
Nasikitika mada yako haina space. Ilipaswa kwenda kwenye Dharura!!!!!! That is what we need more than new planes, boats, roads. Education education, education, education on how to use all these appliances in our environments. Kalne za 16 na 17 watu walikufa sana sababu ya kuchimba mbadini ya mkaa bila dhana na hata madini mengine. Kifua kikuu kiliua watu wengi ulaya wakati matajiri wanazidi kutajirika na kupata pesa za kwenda dunia mpya kununua makoloni na watumwa wa kufanya kazi zaidi.Tumeingia new slavery. Watumwa wapo nchini lakini chini ya bwana mpya mchina. kila migodi, contruct kashika yeye na kila mzawa analalamika. \nikiongea wataniuliza wewe umefanya kazi pale, no mchina akinipa hata kazi ya bure nitakataa. Tumezoea wahindi tunawasema nahisi ipo kwenye damu yao wanaishi kwa castel ukiwa mweusi kidogo utatmikishwa kidogo kadiri rangi yako inavyozidi kuwa nyeusi kazi yako ni kuzibua vyoo basi.

Heri mionzi kuliko kudhalilishwa na binadamu mwenzio kwenye nchi yako.
 
Inasikitisha sana.Huwa roho inaniuma sana kuona watu wanabugia sumu ambazo wangeweza kuepuka wakati mwingine wakiwa aware of what they are doing!
 
Back
Top Bottom