Salaam wanajamvi,Baada ya kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa makala na ushuhuda wa wafugaji hapa jukwaani nikashawishika kuwaanza hii shughuli.Wiki iliyopita nikaenda morogoro nikanunua matetea 10 nikarudi dar nikanunua Jogoo chotara 1,nikawapa chanjo ya new castle kama nilivyoelekezwa na Leo nawamalizia siku ya tano kuwapa OTC%20.Ila tokea juz usiku nasikia kuku wanapiga chafya na leo asubuh nimekuta tetea mmoja kafa ,naombeni msaada wakuu kabla hali haijawa mbaya.Pia kama kuna watsapp group la wafugaji naomba mniunganishe.0716109107