NORDICDRY

NORDICDRY

Skillaz

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
5
Reaction score
2
IMG_5877.JPG
NORDICDRY Ni kama cotton' Inakuwa kama mfuko una hanger. Kazi ya hiyo ni kunyonya moisture, Kama kuna mazao ktk ghala ukiweka inanyonya moisture kwa hewa. Ikijaa inakuwa na maji unatupa. Box moja lina mifuko 10. location Dar es salaam
0717107775
 
Back
Top Bottom