Nahitaji mdhamini au mkopo kupanua project yangu ya ufugaji

Nahitaji mdhamini au mkopo kupanua project yangu ya ufugaji

kaka niliweka maelezo ya kutosha toka juz hakuna hakuna hata mmoja alie guswa hata kutoa ushauri nika gundua hakuna msaada apa nikaamua kufuta sema tu nimeshindwa kuitoa kabisa thread but kwa ufupi mm ni mzoefu wa ufugaji nafugia home kwa,sasa nina kuku kama 126 wa malawi nataka kuhamia shamba kupanua mladi nina kama eka 2 huko ambaye yuko interested tuzungumze kwa kina
0753445531
 
mods toeni hii post ni yangu mwenyewe nataka nitumie njia nyingine kutafuta mshirka au nielekezeni jinsi ya kutoa thread
 
Back
Top Bottom