Ufugaji gani unalipa; Kuku, Bata, Batamzinga ama Khanga?

Ufugaji gani unalipa; Kuku, Bata, Batamzinga ama Khanga?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,068
habari za leo wapendwa. natumain hamjambo na Mwenyezi katubariki kabisa.
natamani niingie katika biashara ya hawa viumbe. ila nataka nijue ni wapi ambao hawashambuliwi na magonjwa ovyo, hapa naona kuku ndio hatari. pia soko lao dukani viumbe wote hawa. mfano naskia bata mzinga anataga mayai makubwa sana so ukimpa menyo ya kutosha hutajutia na ukimuuza na kama bei ya mtoto wa mbuzi.
sasa wakuu naomben uzoefu wenu katika hili na kwa niaba ya wote wanaotaka kuwekeza katika hii biashara.
asubuhi njema.
 
Nami napenda taarifa hizo Mbona wanaojua mnatinyongea?
 
Kuku wana soko kubwa na wanauzika kwa haraka sana ila kwa hali hii ya Magufuli natabiri anguko kubwa katika biashara hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom