Ufugaji kuku

Ufugaji kuku

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Members salama.Nina project ya ufugaji kuku ambayo nimeanza miezi miwili iliyopita baada ya darasa zito kutika hapa.Project inakwenda vizuri na ninefanikiwa kutotoresha vifarangq kwa awamu ya kwanza lakini kuku kwa sasa hawatagi na chakula wanakula vizuri.Tatizo ni nini ?
msaada wakuu
 
Back
Top Bottom