Naomba muongozo kuhusu Ufugaji wa kuku

Naomba muongozo kuhusu Ufugaji wa kuku

raia halisi

Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
7
Reaction score
0
Ndg zangu wenye utaalamu wa ufugaji kuku naomba nipewe elimu, nahitaji kuanza ufugaji
 
Ndg zangu wenye utaalamu wa ufugaji kuku naomba nipewe elimu, nahitaji kuanza ufugaji
Tanzania siku hizi kila mtu anataka kufuga kuku lete hela tukuuzie hawa bata bukini ni fursa mpya hii
1478203283947.jpg
 
Watu wanataka kufuga kuku wa kienyeji coz kila mtu ndio anakula hawa now,na kama unavyofaham chakula huliwa kila siku
 
Ndg zangu wenye utaalamu wa ufugaji kuku naomba nipewe elimu, nahitaji kuanza ufugaji
Ushauri wangu ni.Jaribu kutumia muda wako mwingi kusoma vitabu na machapisho mbalimbali juu ya ufugaji wa kuku yapo mengi sana,pia tafuta wafugaji wengine uwatembelee ukajifunze zaidi,nadhani utafaidika sana kuliko haya magroup ya wassap.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom