Natafuta mbegu ya mihogo(Kiroba)

mezanane

Senior Member
Apr 11, 2011
116
185
Wadau wa Kilimo nipo Kongowe - Kibaha natafuta mbegu ya kiroba nzuri ya kutosha heka tano yaani vipande/vipandikizi 20,000. Mashariti mbegu iwe imekomaa isipungue umri wa miezi 9 shambani.
 
Ngoja niufuatilie uzi huu kwa makini maana nategemea kulima mihogo hko rufiji

Ova
 
Mbegu za kiroba zipo Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele Mtwara. Utazipata bila wasiwasi. Unaweza kuwapigia simu yao kwanza ili kupata taarifa kabla hujaamua kufunga safari
 
Wadau wa Kilimo nipo Kongowe - Kibaha natafuta mbegu ya kiroba nzuri ya kutosha heka tano yaani vipande/vipandikizi 20,000. Mashariti mbegu iwe imekomaa isipungue umri wa miezi 9 shambani.
Nilizikuta Mkuranga sehemu inaitwa Dundani kwa Juma Mzee. Mpigie huyu jamaa alinipa simu yake 0787812441 au 0719617386
 
Back
Top Bottom