Je unatafuta ushauri kuhusu Kanuni za Ukulima na Ufugaji Bora?

TEPU LTD

Member
Dec 6, 2016
20
5
Tanzania Educational Publishers ltd ni kampuni inayotoa Elimu na Ushauri mbalimbali kwa Wakulima na Wafugaji kwa njia ya vitabu. tunavyo vitabu vingi kama Ufugaji Bora wa kuku,Kuku wa kienyeji, Nguruwe, Mbuzi, Ng`ombe, Sungura n.k pia Misingi ya kilimo bora, Ukulima Wa kisasa, jinsi ya kutumia mbolea vunde katika kilimo na vingine vingi. Tunapatikana Bukoba Mjini Mkoa wa Kagera kwa mawasiliano zaidi tupigie simu 0784690277, barua pepe tepultd@yahoo.com au tembelea tovuti www.tepu.co.tz

NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Back
Top Bottom