Mtaalamu wa Mifugo Jijini Dar es Salaam na maeneo jirani

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
547
551
Hi, mimi ni mtaalamu wa mifugo kwa wanyama mbalimbali kama mbwa, kuku, bata maji, bata bukini, Nguruwe, kondoo, mbuzi etc...kwa wakazi wa bagamoyo, bunju, boko, goba,mbezi, kimara......Gharama zangu ni nafuu sana wadau tushirikiane
 
Ungetaja utapatikana sehemu gani na number ya simu
 
Mkuu ukiwa doctor au mtaalam lazima uwe na mifugo ili utuonyeshe mfano je unao
 
Mkuu mimi nafuga fisi kwa ajili ya shughuli zangu za kichawi na sasa hivi wanaumwa,unaweza kuja kuwatibu please?
 
Back
Top Bottom