Ukulima bora wa nyanya

B40

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
820
537
Habari wakuu,poleni kwa ukata,Na hongereni kwa sikukuu ya pasaka.
Wakuu mshahara wangu ni nusu kipenyo sasa nikaona nijiongeze kwa kulima bustani ya Nyanya.
Kwa wale wataalam Na wazoefu naomba ushauri ili uweze kuvuna Nyanya bora.njia za kufuata Na mambo ya kuzingatia toka kulima,hadi kuvuna.
Asanteni.
 
Hp umelamba dume umeingia barabara sio nenda forum ya biashara, kilimo na ufugaji huku ni mapenzi,urafiki na mahusiano. Pole kwa kusubir
 
Habari wakuu,poleni kwa ukata,Na hongereni kwa sikukuu ya pasaka.
Wakuu mshahara wangu ni nusu kipenyo sasa nikaona nijiongeze kwa kulima bustani ya Nyanya.
Kwa wale wataalam Na wazoefu naomba ushauri ili uweze kuvuna Nyanya bora.njia za kufuata Na mambo ya kuzingatia toka kulima,hadi kuvuna.
Asanteni.
Pitia uzi wa mboga mboga upo kwenye stick threads
 
Back
Top Bottom