Samahani wadau nasikia wiki 2 zilizopita Tz imeingia makubaliano na serikali ya China kuanzisha kiwanda kitakochokuwa kinaprocess muhogo,hapa nikiri kwamba sina details za kutosha but kwa upande wangu nimeona ni fursa kwa wana JF kuangalia namna gani tuna grab hiyo opportunity.Niombe basi mwenye details juu ya yaliyokubaliwa azimwage vizuri jamvini ili tuone tunajipanga vp,nadhani mahitaji ya muhogo according to what i heard itakuwa ni tani kama 1m.Karibuni wadau