mussavin1
Member
- May 13, 2017
- 12
- 1
Mimi ni kijana wa miaka24 maisha yangu napenda sana kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, nimefanikiwa kupata ardhi inayoniwezesha kufanya kilimo na mimi nimefikiria kupanda miti ya mbao na miembe ya kisasa ila sina ufahamu wowote kuhusu kilimo hicho, naombeni mnisaidie elimu ili nipate ufahamu katika shughuli ya hiyo ya kilimo.
Asanteni sana!
Asanteni sana!