Kwa yeyote anaeijua Makambako vizuri naomba anifahamishe Mambo yafuàtayo
1) Ardhi kwa ajili ya kilimo inapatikana kwa shilingi ngapi kwa heka
2) Mazao yapi ya biashara yanastawi sana
3) Kulingana na Hali ya Hewa ya Makambàko ufugaji wa kitu gani unakubali sana
3) kama kuna Fursa yoyote ya kibiashara hapo MAKAMBAKO Namba unifahamishe
Nilipita Tu Makambako nilipapenda hivyo Napenda kuwekeza hapo Shughuli za Uzalishaji wa kilimo na Ufugaji