Habari njema kwa wafugaji wa ng'ombe, mbuzi na kondoo

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,293
578
Ugonjwa unaowaathiri sana ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa kushambulia kwato na miguu yao, ujulikanao kama foot rot (kuoza kwa miguu) sasa umepata suluhisho kwa tiba asilia 100%.

Baada ya hiki kipindi cha mvua, ng'ombe, mbuzi na kondoo wengi huwa wanapata ugonjwa huo unaowaletea usumbufu sana wa kuwa kama unaozesha kwato zao mpaka kuwafanya washindwe kutembea na kudhoofika sana mpaka wengine hufa kabisa au huwahiwa kwa kuchinjwa wakiwa taabani.

Ugonjwa huo sasa kwa uhakika kabisa unatibika ndani ya siku tatu hadi saba kwa kutumia udongo wetu wa Aunt Zainab's Natural Super Clay.


Tumeujaribu kwenye ng'ombe zaidi ya 15 wa mazizi tofauti tofauti waliokuwa na matatizo hayo na wanaowahudumia hao ng'ombe wameshangaa unavyowaponesha kwa haraka.

Mlio karibu na wafugaji wa ng'ombe na wanyama wenye kwato fursa hiyo.

Kwa wiki moja mikebe miwili au mitatu kwa ng'ombe mwenye tatizo kwenye miguu yote, inategemea na ukubwa wa tatizo. Unapaka kwa siku mara mbili, asubuhi na jioni.

Bei kwetu ni Shillingi 3,500 kwa mkebe mmoja au Shillingi 5,000 kwa mawakala.

FB_IMG_1496865865271.jpg

IMG-20170601-WA0020.jpg



Kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0625249605 Mzee Abdul.
 
Back
Top Bottom