Water Pump inahitajika

Water Pump inahitajika

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika.
**Iwe inatumia Petrol
** Inch 3

Nina 200,000/= taslim kwa kwenye pump tuwasiliane please PM.

Nipo Dar naomba tuwasiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dukani mbona unapata mchina kwa bei hiyo mkuu? Nenda kariakoo shimoni wanapouza zana za kilimo
 
Back
Top Bottom