Dawa ya kuua wadudu SNOW PLUS

Dawa ya kuua wadudu SNOW PLUS

Kuna mdudu kama kanyigu hv kanapiga sindano tikiti then linaoza kama likifanikiwa kuendelea then linajikunja kdg haliwi smooth in shape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdudu kama kanyigu hv kanapiga sindano tikiti then linaoza kama likifanikiwa kuendelea then linajikunja kdg haliwi smooth in shape

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa,
mpaka sasa umetumia sumu za aina gani.
hebu ziandike ili nijue na kuambia dose gani ya uyo mdudu,
maana ata kwenye tango anasumbuaga kama uwelewi na kukuta tango limejikunja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdudu kama kanyigu hv kanapiga sindano tikiti then linaoza kama likifanikiwa kuendelea then linajikunja kdg haliwi smooth in shape

Sent using Jamii Forums mobile app
pia unaweza usipate Snow plus,
ukapata Snow crown, Dudu all,
Dudu baa,
Dudu will,
Kareti,
au Ninja,
Au Tarentura.
hizo dawa zote hapo ukipata mojawapo utamuangamiza kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau salaam. Natafuta dawa hyo kwa udi na uvumba. Mwenye kujua naipata wapi pls pls naomba unijulishe

Sent using Jamii Forums mobile app
d7c6b2a4b9947e06d27bec84c8e35c25.jpg
.
ipo sana Arusha inapatikana bei ltr Tsh 20000,
kama ujaipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom