Wakati unasubiri kwa mwenye nayo jarb kuangalia online unaweza kushop huko hukoWakuu habari za majukumu.
Ninatafuta mashine ya kufungia malisho ya mifugo (baling machine)
aina ya CLAAS au NEW HOLLAND
Tafadhali tuwasiliane iwapo unayo au unamfahamu aliyenayo
Uwezo wake ni kiasi gani na details nyingine mf. "Fuel consumption "12m hiyo ni used itakulipa![]()
Mkuu baler na fuel consumption wapi na wapi? Hiyo inavutwa na tractor mkuu!Uwezo wake ni kiasi gani na details nyingine mf. "Fuel consumption "
n.k vikoje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjibu tu Mkuu pengine kweli hajui
Mkuu baler na fuel consumption wapi na wapi? Hiyo inavutwa na tractor mkuu!
Hizi advanced mkuu hutaziweza,, wewe tafuta inayovutwa na tractor!!FYI Mkuu zipo ambazo hazivutwi na tractor km hiyo hapo
![]()
Hizi advanced mkuu hutaziweza,, wewe tafuta inayovutwa na tractor!!