Kilimo cha mpunga Mbeya

Kilimo cha mpunga Mbeya

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,585
Ndugu wanajf nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mpunga mbeya but sielewi wapi pa kuanzia

Km kuna anaeelewa naomba kujulishwa mchanganuo mfano gharama za ukodishaji shamba heka ni bei gn na mchanganuo mwengine
 
Sitaingia deep sana lakin in short ni iko ivi; Shamba unakodi kwa tsh 275000/ likiwa tayar limekatuliwa
-Mpunga ni wa kupandikiza
-Mbolea na Dawa za majani zinatumika vya kutosha na bila mbolea hupati kitu
-Ekari moja kulima unaweza kutumia mpaka milioni moja
-Ekari moja unaweza kuvuna magunia 22_26 kutegemeana na upandaji wako na kupiga mbolea kwa wakati sahihi
-Kilimo ni cha umwagiliaji
-Mwaka huu soko limelipa sana gunia 1 kwa sasa huku ni tsh 95000/ na itapanda zaid ya hapo
-Kilimo hiki kinataka mtaji ili uende nacho sawa usiwe na hela ya kuunga unga utakwama
-Changamoto kubwa ipo kweny upatikanaji wa eneo/shamba, wakati wa kutuma maombi ya kukodishiwa eneo wakulima huwa ni wengi mno na wengine hukosa kabisa maeneo ya kulima.
___nakaribisha maswali___!
 
Mwaka uliopita walikuwa wanagombea sana Maji machache, mbalali, ubaruku,Igawa, mpunga halmashauri,
 
Ukihitaji unatuma wapi maombi??!
 
Ukihitaji unatuma wapi maombi??!
Maombi ni msimu ukianza mwezi wa tisa au wa kumi ndio mashamba hutoka, maombi hufanyika ofisi za kampuni ya mbarali highland estates, ingawa Mara nyingi walio na mashamba tayar hulipia maeneo Yao yaleyale waliyo pewa msim uliopita, lakin maombi mapya yapo pia..ni bahati yako tu ikikaa upande wako unapata
 
Mwaka uliopita walikuwa wanagombea sana Maji machache, mbalali, ubaruku,Igawa, mpunga halmashauri,
Msimu uliopita maeneo mengi maji yamesumbua kutokana na hali ya hewa ilivokuwa, lakin hata iweje maji ilikuwa lazima upate tu maana ilikuwa tunanywesha kwa zamu ili wote mpate, usiogope mkuu
 
Back
Top Bottom