Naomba Ushauri - Kufuga ng'ombe wa maziwa na kupack maziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ushauri - Kufuga ng'ombe wa maziwa na kupack maziwa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by AridityIndex, May 27, 2011.

 1. A

  AridityIndex Senior Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wana JF,

  Naombeni mchango wenu katika kuboresha wazo langu la uwekezaji ambalo natarajia kuanza utekelezaji miezi ya karibuni.
  Mimi ni msomi wa kawaida nilifanya kazi kwenye NGO kwa miaka kadhaa, nikaacha na kwenda shule na sasa natarajia kumaliza shule karibuni lakini kwa bahati mbaya field yangu siyo miongoni mwa well paid jobs kwa hapa TZ. Hivyo sijisikii kurudi tena mtaani na kuomba ajira za watu aidha serikalini au kwenye NGO kwa ufupi nataka kujiajiri.

  Nimetafakari na nikaona niwashirikishe katika wazo hili ili nipate michango yenu ya kuliboresha. Natarajia kuanzisha ufugaji wa ngombe wa maziwa Mtwara , eneo km 20 kutoka Mtwara mjini. Natarajia kuanza na ng'ombe atleast 10 ambao nategemea watatoa lita takribani 120 kwa siku kwa kadirio la chini kulingana na mazingira.

  Kikwazo kinachonikabiri ni kwamba sina uhakika wa soko lakini pia bei ya maziwa yasiyoongezwa thamani ni ndogo 800/=kwa lita kwa sasa.
  Hivyo ninawazo la kujaribu kutafuta technology rahisi ya kuyaongezea muda wa kuhifadhi hadi siku 10 angalau na kuyapack katika mifuko ya kawaida ya Nylon yenye ujazo wa ¼, ½ na lita 1. Kwa kufanay hivi nitakuwa kwanza nimeyaongezea thamani lakini pia nitakuwa na fursa ya kuuza hadi kwenye miji jirani.

  1. Naombeni ushauri je ni technolojia gani rahisi naweza kuitumia kwa wale wenye utaalamu au uzoefu.

  2. Ni wapi naweza nikapata mitambo/mashine ya kuongeza muda wa hifadhi na Ku-pack. Ikiwezekana nikipata na makadirio ya gharama itakuwa vizuri zaidi.

  Angalizo:

  Mashine yenye uwezo wa kuprocess maximum Lita 2,000 kwa siku siyo mbaya itafaa sana kwani nitakuwa nanunua maziwa mengine kutoka kwa wafugaji wadogo ili kutosheleza mahitaji ya kiwanda.

  STRENGTH

  MTAJI TZS 40,000,000/= (MILLIONI AROBAINI)
  Tayari nina biashara ya kijiduka.
  Naishi hapa Mtwara kwa miaka 6 sasa.
  Field niliyosomea kwa mbali inahusiana na hiki ninachotaka kukifanya hasa kwenye uzalishaji siyo processing and packaging.

  Tafadhali naombeni michango yenu.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unaweza pata packing plant ya kuprocess maziwa kwa Dola elf 20.but you will need cold room to store the products that can cost you arrround 8000$. Ni PM if you would like me to asist from proceesing machines,Packing as turnkey project,Pia unaweza add value kwa kuzalisha packed icecrems kama za Bakhresa,mtindi flavored one and non flavored one.
  Then ukadominate soko la mtwara na Lindi
   
 3. A

  AridityIndex Senior Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nimekupata mkuu Chipukizi Ahsante kwa kapanua wazo ni kweli fursa ipo ya kudominate hilo soko nitaku-PM kwa sasa ngoja tuendelee kupata michango ya wadau wengine. Kwa estimate hizo for sure I can afford.
   
 4. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kaka, hongera sana kwa uamuzi wa kijasiriamali!
  Big up!

  Mimi pia nipo Mtwara, natafuta sana ng'ombe wa maziwa (japo wawili), sana sana nahitaji wale wenye mimba ambao baada ya miezi 3-4 wanazaa.
  Naomba msaada wako kaka.

  Nakutakia mafanikio.
   
 5. A

  AridityIndex Senior Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CHE-GUEVARA -II ......nimeku-PM kuona tunawezaje kuwasiliana na time frame ya mpango mzima....kazi njema na ahsante kwa hamasa.

  Tuendelee kupata michango kwa wadau mbalimbali.
   
 6. w

  wanan Senior Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nimefurahi sana kusoma wazo lako lina mengi yakuchangia ata kama huna mtaji wa kununua mashine bado unaweza kufanya biashara mtwara na lindi wakati unatafuta mtaji nimeona ng'ombe ambo hawana faida pale mikinda zamani lilikuwa shamba la mkonge ss hv wanafuga ng'ombe,hawakamui maziwa ila wana afya mzuri,swala mzingira ya ufugaji ok,pili usafirisha mtwara lindi barabara ok.umeme ok.masoko na upatikanaji wa maziwa mtwara bado ni mdogo sana yaliyopo hayakizi mahitaji hivyo ndugu yangu mafanikio yapo sana .nina mfano hai ya bab yangu yupo mtwara hakika nimesoma mpaka chuo kwa kutumia maziwa tu.lapili ndugu yangu soma market na wape elimu ya umuhimu wa maziwa ndugu zangu wa mtwara.mtwara kuna vyou vingi sana inaonyesha soko lako litakuwa kubwa sana.haya yote usiweke kwenye computer tutaka utekelezaji kuwa makini watu wameona wazi utakujasikia mashine zinafungwa ww zako zipo kwa komputa.mm naijuwa mtwa mpaka vijiji vyote ni ndanda pekee kuna mambo ya ng'ombe wa maziwa wengi.shm zingine wachache sana chukua mfano huu nenda hoteli yoyote hapo mtwara kuanzia saa tano ulizia maziwa jibu utaniambia ............utasikia yameisha mpaka jion au usiku ,means what?.wasalimie ndugu zangu na kaka zangu na mama nababa ,ligula,chikongola shangani,naliendele,mdenga na madi,mikinda ,msijute,kitama,tandahimba mahuta,nanyanga,maheha..........................naipenda mtwara najivunia kuishi mtwara.thanks god bless u and ur
  project so that your dream be come true
   
 7. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Am speechless.....:biggrin1:
   
 8. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mi mwenyewe chichemi, nitakachochema itakuwa subset ya alichochema Wanan.
   
 9. A

  AridityIndex Senior Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baa wewe chema tu Njomba Che Guevara, Uchiogope. nachukuru jana nilipata PM ya njomba Wanan ngoja nitamjibu baadaye. Ahsanteni kwa michango tuendelee kusubiri hoja za wadau wengine.
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  wazo lako ni zuri sana , it is quite clear that there is a big potential in dairy farming in Tanzania, dairy industry is very large with an array of products and byproducts, look at the dairy products like pasteurized milk coming all the way from South Africa, sasa hivi kuna kampuni ya kenya ya maziwa inaitwa Brookside ndiyo ime dominate soko la tetrapack milk in Tanzania na wanakuja kwa nguvu ya ajabu

  jamani natoa rai kwa wadau na wapenda maendeleo kama huyu bwana wasaidiwe ipasavyo na pia serikali ijaribu kuwawezesha

  mkuu ni pm nikupe detail za consultant wa dairy farming yupo India ambaye atakufanyia consolidated preliminary appraisal bure ili uweze kuona kama unaweza kufanya medium or industrial dairy cattle farming and milk processing na huyu ndiye atakayekutengenezea business plan na kukushauri kitaalam jinsi ya kuanzisha a modern dairy farm and milk processing plant pamoja na kukutafutia possible funding sources and finance (loan)

  tupo pamoja
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2013
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  umefikia wapi mkuu kwenye mradi wadau AridityIndex na CHE GUEVARA-II
   
 12. h

  hermanm Member

  #12
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 27, 2013
  Messages: 36
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I like your idea Mzee! Hongera na endelea kutupa updates please.
   
 13. mtwa mkulu

  mtwa mkulu JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2014
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 2,318
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  update muhimu
   
 14. geofreyngaga

  geofreyngaga JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2014
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 383
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  Ili ni tatizo, watu wanaomba ushauri alaf hawaleti feedback sijui tuwaelewaje!
  Ila naamin watz wengi story nyingi, tunakua over excited alaf basi hatutekelezi kitu hata tukiwa na mitaji ni waoga ajabu.
  AlidityIndex njoo utupe matokeo ndugu!!
   
 15. NAMTUMBA

  NAMTUMBA JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2015
  Joined: Feb 20, 2014
  Messages: 1,928
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mumenifungua akili yangu ililala chaliii sasa nimeamuka nahisi kama nimehitimu phd.
   
 16. Bw.Daffa

  Bw.Daffa JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2015
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nafuatlia kwa makini sana huu uzi. Ndani yake kuna mambo mengi sana ya kujifunza.
   
 17. nra2303

  nra2303 JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2016
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 2,651
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  mrejesho wakuuu vipi? na nini nataka hiii project niifanye!
   
 18. c

  cherrycherry Member

  #18
  Jul 28, 2016
  Joined: Jun 16, 2016
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Mind blowing
   
 19. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2016
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Hakuna mrejesho
   
 20. Come27

  Come27 JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2016
  Joined: Dec 1, 2012
  Messages: 3,085
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Hakuna mrejesho
   
Loading...