Soko la bata lipo wapi?

Soko la bata lipo wapi?

wahindi wanakula sana hiz kitu tafuta hotel za hao watu hutajuta!kila la heri
 
Mkuu hata hapa pia ni sokoni ingekuwa vizuri ungeweka picha ya hao bata na bei ya madume na majike pia weka na mawasiliano ili wanahohitaji waweze kukutafuta
 
weka picha mkuu !xmass ndo hyoo wenye kupenda kujipikilisha !pilau la bata !utatupata
 
25000 kuku wawili ambao wamebalehe na utamu wao zaidi ya bata.
 
Natalia jike na dime Nina 30000.wawe na umri wakutaga not dar
 
Wachina wanakula karibu kila kitu, hata Wahenga wa huko huko Asia wana usemi "Chinese eat anything that crosses"
Ni kweli mkuu nyoka na konokono mwao hata chura na wadudu pia
 
Back
Top Bottom