CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,815
- 9,057
NI LINI UNAPASWA KUONDOA KUKU WAKO WOTE BANDANI NA KUWEKA WAPYA?
Wafugaji wengi huwa tunafuga ila kitu kimoja ambacho hatukizingatii ni mahesabu,
Ni wafugaji wachache sana wanao zingatia mahesabu kwenye ufugaji..
Mahesabu yenyewe ni kama vile.
- Ulaji wa chakula
- Utagaji
- % ya utagaji
- Lini kuku wata break even
-Madawa, Nishati
- Mauzo
- Utagaji ukilinganisha na ulaji wao wa chakula
Na mehesabu mengine mengine .
Wengi hujikuta tunalisha kuku wasio taga au wasio uzika,
Hufika wakati hadi mtu huchukua mshahara wake kwenda kununua msosi wa kuku. Ukiona hivyo jua unawatumikia kuku.
NI LINI KUWA DISPOSAL
1. Pale gharama za kuwatunza zinapo kuwa kubwa kuliko productions
2. Pale utagaji wao unapo kuwa hauna faida tena.
3. Pale wanapo kuwa ni spana mkononi, wanaumwa umwa sana.
Kwa kawaida kuku wanapaswa kujiendesha wenyewe na sio tu kujiendesha na pia faida iwepo baada ya kutoa gharama zote. Kama hakuna faida basi hufugi.
Kwenye asilimia za utagaji inategemeana na mzalishaji mwenyewe. Kuna wengine utagaji ukiwa 70% ni hasara na hao kuku wanapaswa kuondolewa na kuna wengine hata 50% kwake ni faida yaani kuku 200 wanataha 100 tu kwake ni sawa. So asilimia inategemeana na mzalishaji.
Next time tutaangalia Formula ya kupanga kuku wanao taga kwa makundi ili usiishiwe mayai, hii formula ni kwa wanao dili sana na layers.
Ni hayo tu
Chasha Farming
0767691071