Battery Cages

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Wakuu nawasalimu!!
Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya mwenyewe
Natanguliza Shukurani

IMG_0359.jpg
 
Ukiwa Dar, nenda Victoria, elekea kama hospital ya kairuki, Mita 200 toka Bagamoyo road, angalia kulia kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom