Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Kwanza naomba nitoe shukrani zangu member wote walionipa ushauri na hatua za kuchukuwa katakana na tatizo kwa kuku wangu.Nilienda kwa mtaalamu wa mifugo nikampa maelekezo nashukuru nilipata dawa for free of charge nikawapitia wale kuku wagonjwa.
Thanks God they're doing fine lakini nimeona tatizo lingine kwa baadhi ya kuku.Baadhi ya kuku wanatoa kamasi zenye mchanganyiko na damu kwenye pua zao.
Naomba msinichoke naomba msaada wenu tafadhari.Together we can
Asanteni