redvirus
Member
- Jul 21, 2017
- 16
- 3
Habari za majukumu wadau, nachukua nafasi ya kuandika uzi huu kwasabau ya utayari na nia ya kutaka kujua zaidi na kuwa na mchanganuo sahihi juu ya mpango wangu wa kuamua kuingia jumla katika kilimo hasa kilimo biashara hususa ni kwa mkoa wa Morogoro. Ambapo kwa tafiti ya awali naona kama n mkoa wenye fursa ya kutosha.
Aina ya a kilimo nacho taka kufanya n cha mazao ya kibiashara kama kitunguu Swaumu/maji, mahindi, mtama, ufuta, mpunga na maharage.
Lengo kubwa ni kuomba msaada wa mawazo juu ya wazo langu ikiwa kwa maana ya hatua za mwanzo kama maeneo sahihi ndani ya Morogoro kwa ajili ya kufanya shughuli hii ya kilimo cha ng'ambo zilizopo mazingatio ya msingi vipaumbele na yote yenye manufaa kwangu na yoyote ambaye anaweza nufaika na uzidi huu.