Mbegu ya karanga inahitajika

Mbegu ya karanga inahitajika

Lundavi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
328
Reaction score
326
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, nahitaji mbegu ya karanga. Nipo Iringa.
 
Ebu jaribu kufanya mawasiliano na mtu yeyote aliye SUA maana kule wana mbegu za kutosha
 
Naliendele Mtwara kama sikosei,wana mbegu zinazaa sana mpaka gunia 15-18/acre.
Google utapata taarifa zao na contacts.
 
Back
Top Bottom