Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau, Ninatafuta mtu aliyesajiri chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji NACTE au VETA naomba kuwa wakala wake mkoa wa Mbeya. Ina make profit sana. Naomba tuwasiliane kwa PM Nipo tayari muda...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naombeni kujua kuhusu kilimo cha mahindi jinsi ya kuandaa shamba, kupanda, hadi kuvuna kwa heka 1 unaweza ukavuna kiasi gani[emoji122]
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimehitimu Diploma ya mifugo(DAHP) nnamtaji wa million 2.5 tu, nko njombe vijijin kuna kama kata NNE hakuna mtaalam kilimo/mifugo wala vet. centre na wananch nanafuga sana Nguruwe Kuku, mbuz...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naombe msaada wa namna/ hatua za kufuhata kuanza kuuza mazao kwenye super market baada ya kuvitoa sokoni, Je natakiwa nifuhate hatua zipi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu.. CV yangu -INFORMATION TECNOLOGY & HIPHOP artist mtaji m 1200,000/= kutokana na ujuzi wangu nijiajiri vp wakuu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili kuwanusuru wakulima wa tumbaku na hasara wanayoweza kuipata ya kukosa soko, serikali imeanzisha majadiliano na nchi nne za India, Misri, China na Iran ambazo zimeonyesha nia ya kununua shehena...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama uzi unavyojieleza liwe fundisho Kwa wengine.. Najua vijana Kwa Sasa wapo makini Kwa kuanzisha miradi mbali mbali.. Mimi 1 wapo nilianza na mradi wa kuku 10. Matetea tupu nikawapiga chanjo na...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Natumaini wazima wa afya, Nilikuwa mkimya kitambo kidogo nilikuwa shambani kwenye field baada ya kusoma maandiko mengi na sasa nategemea kuvuna matikiti tarehe 5 mwezi wa Tisa. Tafadhali kama kuna...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
APPLY NOW to the LEAD Project Investment Fund Are you an entrepreneur? Are you looking to expand your business? Poultry feed processor, hatchery, poultry meat processor, maize seed...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF. Naomba wale walio na uzoefu wa kilimo cha Miti wanifungue macho kidogo. Nina heka kadhaa za ardhi katika ukanda wa Pwani ambapo nilijaribu kulima mazao ya kawaida (Nafaka) mwaka...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wadau, Niko na kamtaji kangu nataka nilime Tangawizi pale Same nimepata fununu kuwa pale ndo msimu wake huu. Naombeni mwenye utambuzi kdogo anisaidie. 1. Gharama ya kukodi shamba Ekari...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafuta miche ya strawberry niko Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nahitaji tani kumi makopa jumatano
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna njia tofauti za kuanza au kuongeza mtaji kwa mfugaji wa kuku kama vile, kununua kuku wakubwa, vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine au kuzalisha vifaranga wako wewe mwenyewe. Kupunguza...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wanakilimo wenzangu, Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
1 Reactions
59 Replies
24K Views
NJOMBE FOREST PLANTATION PANDA MITI YA MBAO UNUFAIKE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari. PM kwa taarifa yyte.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula. Chanzo ITV, 05/09/2017 My take: Hii ni fursa...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari! Kuku wangu wanakosa nguvu za miguu na baadae hufa,. Kwa anae jua chanzo na tiba tafadhali nijulishe . Shukran
1 Reactions
11 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…