Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hbari ndugu, Kama nilivyoeleza hapo juu nina ekari 6 na ningependa kuituma kujiongezea kipato kuliko kiwa shamba pori. Naulizia zao ambalo naweza kulima na likawa na tija. Sina tatizo la mtaji.
0 Reactions
48 Replies
20K Views
Nmekutana na post hii huyu mzaz alipost wapo ikulu naomben mniambie wanafugwaje? na ni ruhusa mtu yeyote kuw naye nchini ama had uwe na license? sielewi kitu mnijuze
0 Reactions
3 Replies
4K Views
UGONJWA WA KUHARA DAM (Coccidiosis) KWA KUKU: Na Dr Khalfan 0752367114 Ugonjwa huu husababishwa na vimelea aina ya Protozoa na hushambulia kuku wote wakubwa na wadogo ila huathiri zaidi kuku...
1 Reactions
47 Replies
21K Views
Hatuna presha wala hofu asbh tukiamka kazi kubwa kufungua tu mlango kuku hao wanasepa zao jioni wakishaingia tunafunga,hatujui kinga wala tiba hatujawahi kununua chochote dukani kwa ajili ya kuku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niko mkoani Dodoma kama mjasiliamali wa kilimo ila kuna fursa mbili nimezichungulia. 1:Blue kopa: tani moja hap wanauza laki 1 2:Madini chuma(mawe haya yana naswa na sumaku) Kwa yeyote ambay...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nakuja tena kwenu nikawasihi wale wote wanaaogopa kuanza kilimo hasa Kwa kipind hiki ambacho tunatarajia kuanza msimu wa masika, wataalamu wapo kwa ajili ya kukusaidia na kupunguza adha za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchini china wametengeneza mfumo wa ufatiliaji maendeleo ya kuku kupitia blockchain. Mfumo utasaidia wateja kutouziwa kuku waliokufa au waliokwisha muda wao wa kukaa sokoni na badala yake mnunuzi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hi,Am leaving here in Sinza -DSM Am looking for some people who are ready for Farming business especially Fish Farming to work together for easy achievement,As we know team work is better and...
1 Reactions
6 Replies
891 Views
Nimemwaga mpunga trh 03/01 ila majan yanaota kabla ya mpunga nahitaji kufaham dawa ya kuua majani bila ya madhara kwa mpunga.
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Mwaka jana nilipokua likizo nilishangazwa na ladha ya machungwa, karibu machungwa yote niliyoyanunua jijini Dar es salaam ladha yake haitafautiani na ile ya malimao. Baada ya utafiti mdogo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanafikiria ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha tunavuna maji ya mvua kwa namna ambayo tunaweza kuyatumia kwenye shughuli zetu za kilimo hasa huko vijijini. Ni...
1 Reactions
0 Replies
736 Views
Wakuu habari ya ijumaa samahani kama kuna vijana ambao ni mafighter tufanye kilimo cha uyoga hapa dsm nimefanya research inaonekana kinalipa sana ila wakulima ndio shida hivyo kama upo dsm...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakaazi wa wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi wanategemea zao la korosho kama zao kuu la biashara na kusahau mazao mengine yanayoweza kubadili maisha yao kiuchumi. Sababu kuu ni kukosa mafunzo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari! Kwa yeyote mwenye ushauri kuhusu kifaa tajwa hapo juu nakarisha,nahitaji hiko kifaa walau kile cha kuanzia mayai 300,brand ipi nzuri,automatic au manual,bei zake,za hapa bongo au nje ya...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nahitaji kujua mbegu nzuri na inayozaa zaidi au mapato mazuri ya alizeti!!!
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Tunahitaji miche ya mirunda mizuri na iliyooteshwa kitaalamu. Kama unayo miche hiyo tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda kujua ni kwa nini kinyesi cha Binadamu hakitumiki kama mbolea?Maana sehemu nyingi ambazo uwa kuna mtitiriko wa kinyesi na kukawa na ulimaji Wa mboga mboga,uwa zinastawi sana.Sasa ni kwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Jamani Nina mitende miwili kila mwaka zinaharibika sijui namna zinavyotengenezwa. Msaada Kwa mwenye ujuzi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada wana JF. Nahitaji kununua mayai yanayotumiwa kutotoresha broilers, nimejaribu kufanya internet search locally kwa hapa Tanzania sijaambulia information yoyote inayoweza nisaidia. Kama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana JF Nahitaji partner ya kufuga nae kuku wa kisasa na kienyeji kibiashara anayepatikana mkoa wa Arusha hususani Arusha mjini....akiwa na mabanda na eneo la ufugaji itakuwa vema zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…