BROILER PARENTS STOCK
Mpaka sasa Ulimwenguni kote kuna kampuni 3 pekee zinazo zalisha parents stock wa Broiler hizi kampuni zina breeds tofauto tofauti za Broiler.
1. Aviagen
Hawa wanazalisha...
1. Miaka ya 1995 baadhi ya watu walianza kusema kuwa hizi hybrid seeds zinashambuliwa sana na magonja kuliko mbegu za asili.
2. Miaka ya hivi karibuni wadudu wanaoshambulia mazao wamekuwa tishio...
MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA.
Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya...
Habari Wakuu,
Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20.
Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
Hello wadau na wakuu wa forum hii adimu ya JF!
mimi ni kijana wa umri wa miaka 26,
naishi mwanza mjini kabisa.
nimekuja mbele zenu hapa mnipatie msaada wa vifaa mbalimbali ili niweze kuingia...
Wakuu Salaam.
Hongereni kwa shughuli mbalimbali za ujenzi wa maisha binafsi na taifa kwa ujumla.
Naomba msaada wa mawazo. Ninafuga kuku wa mayai ya kisasa na machotara. Sasa for the past two...
Habari wazalendo wa nchi hii yaani wakulima,
Niona nifungue uzi huu kwa wale wakulima wa mazao ya muda mfupi, ili tufahamishane hali ya soko bei kupanda na kushuka, lakini pia tupeane taarifa ya...
Utotoleshaji wa vifaranga kwa haraka haraka utaona ni biashara inayo lipa sana na ukipigiwa mahesabu unaweza hata kutoa notce kazini ya 24 hours ukaanze biashara kwa kununua Mashine yaani...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Ninahitaji kusafirisha Dagaa nje ya nchi katika nchi jirani. Sasa kumekuwa na kamta kamata kila kona kuanzia huko kwa wavuvi mpaka mipakani, wote wanadai vibali...
Kama we mkulima wa matunda aina yeyote njoo PM Tuzungumze kampuni inachukua matunda mbali mbali na kuyapack kwa ajili ya Export.Napenda tufanye mazungumzo na mkulima direct Sio Dalali maana...
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn...
Ndugu zangu wakulima hii jamii ya watu wanajiita wafugaji hasa wa kabila la kimasai wamekuwa ni kero sana kwan mara nyingi wamekuwa na tabia zisizo za kiungwana mara nyingi huingiza mifugo yao...
Wakuu habarini za asubuhi kama kichwa cha habari kinavypjionesha hapo juu ningeomba kupata msaada kuhusu ni wapi naweza kupata mashine ya kubangua karanga na gharama zake.
Natanguliza shukrani zangu.
Kama wewe ni mfugaji au una mpango wa kuanza mradi wa ufugaji samaki ,sasa unaweza kupata vifaranga vya samaki aina ya kambale kwa bei poaa kabisa ya sh 400. Pia tunatoa elimu ya ufugaji wa samaki...
Ni aibu!aibu!aibu!mtu kapokea milion 25 kama faida ya jasho lake la ukulima na kisha miezi minne mbele anasema kwa sauti pana kijiweni.....'SINA HELAAA DAH'....sasa unataka upewe nin...
Hallo,
Guys kama mmnakumbuka nilikuwa nikitafuta mashamba tangu mwaka jana November hatimaye Week iliyopita nimepata viji heka vitano maeneo ya msolwa ukitoka chalinze kama unaelekea morogoro...
Hbari ndugu,
Kama nilivyoeleza hapo juu nina ekari 6 na ningependa kuituma kujiongezea kipato kuliko kiwa shamba pori. Naulizia zao ambalo naweza kulima na likawa na tija. Sina tatizo la mtaji.
Nmekutana na post hii huyu mzaz alipost wapo ikulu
naomben mniambie wanafugwaje?
na ni ruhusa mtu yeyote kuw naye nchini ama had uwe na license?
sielewi kitu mnijuze