MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,526
- 8,791
BROILER PARENTS STOCK
Mpaka sasa Ulimwenguni kote kuna kampuni 3 pekee zinazo zalisha parents stock wa Broiler hizi kampuni zina breeds tofauto tofauti za Broiler.
1. Aviagen
Hawa wanazalisha Ross, Arbor Acres, Indian River na Peterson brands
2. Cobb-Vantress
Hawa wanazanlisha Cobb, Avian, Sasso na Hybro brands.
3. Groupe Grimaud
Hawa wana Hubbard na Grimaud Frere brands
Kwa hiyo kama unafuga Broiler tambua kwamba ziko kati ya hizo hapo breeds na kampuni hizi ziko 3 tu ndo zinatawala Dunia.
Kumiliki Parents stock sio swala la kitoto linahitaji uwekezaji ulio enda shule hasa kwenye Utafiti.
Hivyo kwa kampuni zilizoko bongo zina kati ya hizo breeds za Broiler.