Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hivi kuna masharti gani mtu akitaka kufungua Bureau De Change, Benki na Financial institution Tanzania Je Bureau zinalipa au? kwa nini wadosi wengi wanafanya sana hii biashara?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF! Kunu ndugu yangu amenihabarisha kuwa kuna mashamba maeneo ya Bagamoyo (maeneo mbalimbali) na ni bei poa (hakunitajia bei)! Binafsi nina nia ya kununua eneo kwa ajili ya kilimo kule...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
nahitaji kujua kwa undani kuhusu Flaxseed
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nashukuru Sana Kwa habari mtupazo
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Wakuu Salaam. Nipo Dar es salaam ila Nina mpango wa kufuga Ng'ombe wa kisasa wa maziwa au hata kama watakuwa chotara sio mbaya ili mradi wawe na uwezo wa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je green house hufanya vizuri kwenye mazingira ya joto? Na Eng Octavian Lasway Back to physics from gas laws 1. Charles law ( V>T) 2. Boyle's law (P>T) 3. PV= nRT Kutoka na eqn hapo juu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wakulima Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji. Ntashukuru
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbali na maswala ya Ufugaji kwa sasa pia tunajishughulisha na Kilimo cha matunda hasa Strawberry na Cape gooseberry. Strawberry ni matunda yenye thamani sana na mara nyingi huliwa au kutumiwa na...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Salaam. Nina muhogo uko shambani tayari kwa kuvunwa, eneo ni kijiji cha yombo unapita msanga na hufiki Chole. Barabara ya Kisarawe.Ningependa kuuza kilo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumaini hamjambo wana jukwaa. Samahani naomba mwenye utaalamu anisaidie gharama za kuweza kufuga kuku wa broiler kiasi tajwa hapo juu, tangu wk ya kwanza mpk ya mwisho, kuanzia manunuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
16K Views
Habari Wadau nilikua naomba kwa anayejua hints za ufugaji wa kuku nahitaji kununua vifaranga Vidogo vya broiler ndio nimesikia vinakua wiki 3 au 4 sasa shida yangu ni kwamba mabanda hayo hayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada kwa wataalam nmeshajieleza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, wakuu , natumaini mko vyema kabisa, naomba kupata experience ya mfugaji yeyote anayetumia hii system ya cages , hasara faida na gharama zake.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wetu tumewahi kushuhudia au kusikia habari ya maisha duni wanayoishi baadhi ya watumishi wa umma mara baada kustaafu. Sababu zinaweza kuwa nyingi lakini mojawapo ni kutokumbuka kuwekeza...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hali zenu wanajamvi? Anaandika steka toka kusini, wadau zao la ufuta ni nguzo muhimu kwa uchumi wa mikoa ya kusini hasa mkoa wa Lindi, tulizoea kuuza zao hili kwa bei ya sh 2000-2500/ cha ajabu...
3 Reactions
35 Replies
12K Views
Kwa kuanzia Serikali na Benki ya Kilimo iwapatie wanavijiji matrekta ya bure au ya mkopo ili kubadilisha kilimo chao cha jembe la mkono. Sasa hivi wanavijiji wamehamasika kulima kwa matrekta...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wanajukwaa I hope mko poa, nauliza Kama kwa kipindi hiki cha mwezi wa saba mpaka wa nane, Kama ntaweza kupata ufuta wa kununua takribani Tani 1000
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuuu. Ninampango wa kulima hekar 1 ya hoho. Nimejaribu kupanda miche 500 kwa mara ya kwanza mavuno yalikuwa mazur na mengi. Nikajaribu tena kwa mara ya pili kutumia hybrid seeds (Tycoon)...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…