Msimu wa kununua zao la ufuta ni upi?

Msimu wa kununua zao la ufuta ni upi?

Black_lion

Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
9
Reaction score
5
Jamani wanajukwaa I hope mko poa, nauliza Kama kwa kipindi hiki cha mwezi wa saba mpaka wa nane, Kama ntaweza kupata ufuta wa kununua takribani Tani 1000
 
Ndio sasa watu wananunua ufuta, maeneo ya kibiti kilo 1500/= reja reja.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
UFUTA na CHOROKO
Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho.

BEI YA LEO
Ufuta: 2,600/= kwa kilo
Choroko: 1,100/= kwa kilo

Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Back
Top Bottom