Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Wakuuu. Ninampango wa kulima hekar 1 ya hoho. Nimejaribu kupanda miche 500 kwa mara ya kwanza mavuno yalikuwa mazur na mengi. Nikajaribu tena kwa mara ya pili kutumia hybrid seeds (Tycoon) nimeishia kupata matunda kama 500 tu kati ya miche 500.
Huu ugonjwa nimegundua unasambaa kwa kasi sana na unasumbua wakulima wengi wa hoho hapa nchini na ndyo umefanya pilipili hoho kupanda bei. Mwanza 50kg bag ya hoho imefika had 40,000tsh.
Hata kwenye green house hauzuiliki.
Nimefatilia hata wakulima wataharamu kama Kibo ambao hupanda hoo kwenye viwanja vya maonyesho ya nane nane nao wameshindwa kuzipitisha.
Mwenye idea yeyote na huu ugonjwa hebu tusaidiane.
Nilichogundua mpaka sasa hizi hoho zinashambuliwa na ugonjwa unaitwa " Leaf Curl" na " Root knot nematodes"
Pia hili tatizo linasumbua sana kwenye nchi za wenzetu kama India na kenya.