Nahitaji ushauri wa ufugaji kuku na kutengeneza mabanda yake

Nahitaji ushauri wa ufugaji kuku na kutengeneza mabanda yake

Shoma1

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
16
Reaction score
8
Habari Wadau nilikua naomba kwa anayejua hints za ufugaji wa kuku nahitaji kununua vifaranga Vidogo vya broiler ndio nimesikia vinakua wiki 3 au 4 sasa shida yangu ni kwamba mabanda hayo hayo naweza nikayatumia hata kuku wakikua au kuna tofauti ya mabanda inabidi nifanye na gharama za ujenzi wa banda inaweza kufikia sh ngap
 
Back
Top Bottom