Nina eneo maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mjasiriamali tuwekeze!


Joined
Sep 12, 2016
Messages
34
Likes
34
Points
25
Age
48

Mgagao

Member
Joined Sep 12, 2016
34 34 25
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa nyama, kama tutatengeneza mabanda tunaweza kufuga kuku zaidi ya 1500, eneo lina ukubwa wa zaidi ya 400sq,
Kama kuna mtu ana wazo tofauti tunaloweza kupata faida pamoja basi tunaweza kujadili!
Mimi nina eneo ww una pesa basi tuwekeze pamoja, nahitaji mtu ambaye yupo serious, kama yupo nipm!
 

Forum statistics

Threads 1,203,731
Members 456,939
Posts 28,126,749