Gharama za ufugaji wa kuku 300 wa nyama.

nimbagonza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Messages
959
Likes
614
Points
180

nimbagonza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2015
959 614 180
Natumaini hamjambo wana jukwaa.
Samahani naomba mwenye utaalamu anisaidie gharama za kuweza kufuga kuku wa broiler kiasi tajwa hapo juu,tangu wk ya kwanza mpk ya mwisho,kuanzia manunuzi ya vifaranga,chakula,maji,umeme na chanjo banda liko tyr!! Asanteni.
 

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
595
Likes
636
Points
180

Jack HD

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
595 636 180
Mkuu sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kuja kukata kiu yako. Cha msingi cha kunote ni operation cost ni Tshs. 4500 per chick kuku wa wiki 4 mpaka siku 30.
 

leroytz

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Messages
548
Likes
244
Points
60

leroytz

JF-Expert Member
Joined May 22, 2016
548 244 60
Kifaranga kimoja 1500 kwahyo kama ni 300 andaa 450000
Chakula mifuko kama 12, mmoja maximum 60000
Maji, umeme na chanjo watakuja wengine kuongezea
 

Forum statistics

Threads 1,203,564
Members 456,824
Posts 28,118,974