Je green house hufanya vizuri kwenye mazingira ya joto?

Lasway.Jr

Senior Member
Joined
Jul 25, 2015
Messages
172
Likes
279
Points
80
Age
26

Lasway.Jr

Senior Member
Joined Jul 25, 2015
172 279 80
Je green house hufanya vizuri kwenye mazingira ya joto?
Na Eng Octavian Lasway
Back to physics from gas laws
1. Charles law ( V>T)
2. Boyle's law (P>T)
3. PV= nRT
Kutoka na eqn hapo juu tunajua kuwa V= Ah hense V>A
Wakati huo huo lazma tujue kuwa mimea kufanya transportation na unapomwagilia maji hupotea kwa njia ya mvuke na hivi vitu huchangia ongezeko la humidity kwenye hewa also increase of water molecules (joto hubebwa na molecules) na pale jua linapoongezeka huzipa molecules energy na velocity ya molecules huongezeka (collisions increase as temp increases ) collision ikiongezeka joto huongezeka Mara dufu

Pia tufahamu kuwa always cold air sink and hot air raise (ndio maana ukipanda juu ya mti husikii joto sana)

Sasa ili kupunguza joto you must suck hot air and induce cold air (fan, ac etc)

Kwenye green house tunafanyaje?
Kupunguza joto we must
1. Minimize molecules collision
2. Allowing hot air (molecules) to escape
3. Decrease UV energy that will excite molecules hence increase collision and rise temperature

Tunachofanya ni nini?
Green house zetu zina kuwa na height kubwa hii husaidia air molecules to have larger room to minimize collision
Green house zetu zina ventilation ambayo husaidia hot air to escape and cold air to enter
Green house zetu zina kuwa designed with long length being parallel to wind direction to make wind sweep away humid air
Green house zetu tunatumia shade net(55%) tunaiweka ndani kupunguza makali ya jua yanayosababisha joto kuongezeka
NB: net zina kuwa rated into % kwa sababu the percentage entails amount of dust, UV, etc that can be allowed or blocked
Mfano shade net 55% it allow 55% of UV to pass and block 45%

So we are confident with our professionalism na tumefanya kazi sehemu nyingi na green house zetu ziko bomba sana
Pia tuweze kutofautisha kati ya
1. Green house
2. High tunnels
3. Screen house
Niseme tuu kuwa kuwa watu walifanya makosa na kuharibu soko na mind za wakulima kuhusu green house
NB: picha ni green house zilizojegwa Bagamoyo na kisiwani Mafia

Eng Octavian Lasway
Green agriculture company
+255673000103 / +255763347985
Tupe changamoto zako au maoni yako ....tujadiliane hapa
img_20180709_184541_798-jpg.806146
img-20180630-wa0007-jpg.806149
img-20180706-wa0061-jpg.806147
 
Joined
Jul 17, 2013
Messages
63
Likes
47
Points
25
Age
26
Joined Jul 17, 2013
63 47 25
Mkuu safi sana kwa somo zuri.
Huwa nawafwatilia sana greenagriculture
Kule Instagram.
Naomba mkuu niulize kuhusu mbegu za matango Darina F1
Je ubora wake uko vipi?
Uzaaji wake ni mkubwa au ni wa kawaida?
Matunda yake yanakua makubwa?
Naweza nikavuna kwa mda gani kama nahudumia shamba vizuri kabisa?
 

Forum statistics

Threads 1,203,712
Members 456,928
Posts 28,125,963