Msaada kuhusu Kitunguu saumu


abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Messages
227
Likes
175
Points
60

abaa4all

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2013
227 175 60
Habar wakulima
Naomba aliewah kulima kitunguu saumu aniambie kinakaa muda gani shamba na kipind gan huwa ni mwisho wa kumwagia maji.
Ntashukuru
 

Forum statistics

Threads 1,203,724
Members 456,939
Posts 28,126,469