Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mi nimeshindwa kuhielewa hii cm kwani hata nikizima data lkn chaji inaisha haraka,na nikizima data inaandika 3G.Ni nini tatizo setting au kuna kitu kinasababisha?msaada wenu wadau.
1 Reactions
6 Replies
949 Views
Habari za asubuhi watu wore. Ninaomba msaada nawezaje kudelete page yangu ktk Facebook?... Naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Nina video ambayo ni 720p MP4 lakini chaa ajabu kwenye DVD player yangu haitaki kuplay na DVD inasupport MP4 msaana nifanyaje iweze kuplay Hizo video zipo kwenye Flash zingine zinaplay zingine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu laptop yangu Samsung Np n100sp imevunjika kioo haionyeshi kitu Mwenye kujua wapi naweza kupata mtaalamu akanibadilishia kioo tafadhali anijuze
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kutengeneza PC yangu ya toshiba screen imepasuka ndani afu pia kutengeneza charging system yake maana ikiwa on PC haipitishi chaji hadi iwe off. Naomba mwenye uwezo anitafute...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada nimeweka flash kwenye PC ila mafaili hayaonekani
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Wanajamvini habari, Hivi karibuni vodacom wamekua wakituma hilo tangazo lao kwa wateja wao had mara nne kwa siku, na linaudh kwa kiasi maana unaweza kuwa umetulia gafla sms inaingia kuangalia ni...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
habar wakuu naomba mnipe maujanja ya kuwa developer pia ni kiac gani kinagharim kusomea??
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Tubadilishane iphone 5s kwa 6 nakupa na ela kidogo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama heading inavyojieleza, nimedownload application ya tigopesa kwenye playstore. Sasa mashaka yangu, je iko poa au ni majanga?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Unaweza kufanya pc yako inayo tumia window os kama vile window 7,8 na 10 kuwa na mwinekano mzuri wa Pc aina ya Apple... Chakufanya nikudownload na kuinstall kitu kinacho itwa Yosemite skinpack...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika taaluma ya Film and Video Production, siku hizi wengi wetu tunajua ku-oparate camera, ku-shoot na kufanya editing. Lakini changamoto kubwa ipo katika Motion Graphics and Compositing. Sio...
5 Reactions
96 Replies
18K Views
Nina imani wote mu wazima! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujua bei ya CPU blower (mashine ya kufuta vumbi kwenye PC) hasa kwa maeneo ya Arusha na Moshi. Pili ningependa kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu naitaji Database au Program ambayo inaweza kukidhi maitaji yote ya hospital, kuanzia mapokezi hadi pharmacy kwa yeyote ambae anajua kufanya hiyo mambo ani inbox
0 Reactions
0 Replies
624 Views
wakuu naitaji database au program ambayo itaweza kukudhi maitaji ya Hosp... Mambo yote ya usajili wa wagonjwa... Mtu ambae anaweza kufanya hiyo kitu ani anibox
0 Reactions
0 Replies
424 Views
FAT32, NTFS, exFAT are three different files systems used to store data in a storage device. Created by Microsoft, they have their pros and cons which you might want to know and will allow you to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Juzi kati nimepokea hela toka ebay, walinirefund some money kama 35$, nikahakikisha kabisa, ila nimeenda bank kuangalia kama imeingia kwenye account yangu wanasema HQ hawajui kinachoendelea na...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Program Zipi Ni Nzuri na zna effect zakutosha kuedit picha msaada plz
0 Reactions
2 Replies
671 Views
wakuu nisaidieni nina memory ya gb 8 ila tatzo imeharibika inaniandika MEMORY IS BLANK najaribu kuERASE lakini inagoma haisomi hata kwenye simu kwamba ipo nifanyeje ama.nitumie app gani????
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom