Mi nimeshindwa kuhielewa hii cm kwani hata nikizima data lkn chaji inaisha haraka,na nikizima data inaandika 3G.Ni nini tatizo setting au kuna kitu kinasababisha?msaada wenu wadau.
Mkuu ukitazama hizo post hapo juu unaweza ona kama ni hicho kitu hukielewa au ni shida nyingine. Kuhusu battery hapa jaribu kucontrol mwanga set kwenye auto, pia apps ambazo zinakula sana chaji ziuninstall.
Cha kwanza utuambie umeanza kuitumia lini. Na hapo kabla ilikuaje, kama haikua hivo jua kuna virus . Virus hupelekea sim yako kujiwasha data hata kama ulizma. Lakn kama ni ya kichina kuwa na 3g ni kawaida na utakuta hiyo 3g haifanyi kaz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.