Iko poa sana ukshaconnect hata uktoa line unaweza tuma na kupokea pesa as long as una internet.Kama heading inavyojieleza nimedownload application ya tigopesa kwenye playstore sasa mashaka yangu je iko poa au ni majanga
MAJANGA TU, HAMIA TIMU SIBANDUKI...WAPO VIZURI KULIKO HAO JAMAA WA KABANG...!Kama heading inavyojieleza, nimedownload application ya tigopesa kwenye playstore. Sasa mashaka yangu, je iko poa au ni majanga?
Bro mbona kama kituko vile? unawezaje kufanya transaction pindi umetoa line? Internet inafanyaje kazi bila line? Duu hii ipo Tanzania tuuIko poa sana ukshaconnect hata uktoa line unaweza tuma na kupokea pesa as long as una internet.
Mimi binafsi nliunga line nikaitoa sijawahi irudisha nna miez ka mitatu natuma na kupokea ela.
Aalafu uzuri unachugua mjna kwenye phonebook kama vile unaandika msg
Nina maana unaweza weka line ya mtandao mwingine au line ya tgo lakini ya siyo yenye tgo pesa uliyo connect kwenye app au ukatumia wifi.Bro mbona kama kituko vile? unawezaje kufanya transaction pindi umetoa line? Internet inafanyaje kazi bila line? Duu hii ipo Tanzania tuu
kama nimemwelewa vzur anamaanisha line ya tigo ndo kaitoa kwenye simu na anatumia line ya mtandao mwingine kuaccess hyo app ya tigopesa. mfano unainstall wasapu na kusajir line ya voda lkn hata isipokuwepo hewan hyo voda utapata all services za wasapu appBro mbona kama kituko vile? unawezaje kufanya transaction pindi umetoa line? Internet inafanyaje kazi bila line? Duu hii ipo Tanzania tuu
Sasa wewe app kwenye simu yako unataka itumie mb za line ipi?Kati ya app ya kijinga ndo hiyo.. Haina maana umlazimishe mtumiaji atumie lain hiyo hiyo na mb za laini hiyo hiyo..
Hujanielewa.. Hii app inakulizimisha utumie mb za laini uliojisajilia nayo kwenye tigo pesa.. Huwezi kutumia mb ulizo nazo kwenye laini nyingine hata kama ni laini nyingine ya tigo... Huwezi pia kumia wi-fi . Sasa inahaja gani si bora ukatumia tu USSD Code ??Sasa wewe app kwenye simu yako unataka itumie mb za line ipi?
Siyo kweli... unapojiunga lazima line iwepo kwenye simu. Ukishajiunga hata ukiitoa ukaweka line ya mtandao wowote inapiga kazi.Kati ya app ya kijinga ndo hiyo.. Haina maana umlazimishe mtumiaji atumie lain hiyo hiyo na mb za laini hiyo hiyo..
Sio kweli ukishajiunga unatoa unaweza hata weka line ya mtandao mwingine mimi nilijiunga line nikatoa na natumia halotel au voda lakin bado napata huduma.Hujanielewa.. Hii app inakulizimisha utumie mb za laini uliojisajilia nayo kwenye tigo pesa.. Huwezi kutumia mb ulizo nazo kwenye laini nyingine hata kama ni laini nyingine ya tigo... Huwezi pia kumia wi-fi . Sasa inahaja gani si bora ukatumia tu USSD Code ??
Kwa maoni yangu nilifikiri itakuwa suluhisho kwa wale ambao wana simu zaidi ya moja unashusha app unajisajili unatapa huduma km ilivyo kwa app ya NMB.
Lini umejaribu mkuu?? Mi jp nimeishusha nilipo jaribu kujisajili ikanigomea use tigo network ndo majibu yakeSio kweli ukishajiunga unatoa unaweza hata weka line ya mtandao mwingine mimi nilijiunga line nikatoa na natumia halotel au voda lakin bado napata huduma.
Nina mwez wa tatu sasa
Mpaka sasa naitumia. Unapokuwa unajisajili inabidi utumie internet ya line ya tigo unayojisajilia ukishamaliza basi hata ukiitoa.Lini umejaribu mkuu?? Mi jp nimeishusha nilipo jaribu kujisajili ikanigomea use tigo network ndo majibu yake